
Habari mwanamichezo wa Bongosports, karibu kweny kurasa hii itakayoweza kukuo nyesha taarifa ya matokeo ya mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kati ya bingwa mtetezi Yanga Sc dhidi ya KMC
Yanga anaenda kuvaana na KMC baada ya mchezo wa Sare ya 2 – 2 na maasimu wao Simba Sc uliofanyia siku chache zilizopita.
Ikumbukwe kua Yanga ndio klabu inyoongoza ligi kwa wakati huu akiwa kileleni kwa pointi 48 point 5 mbele ya Simba Sc klabu mwenye point 43
MATOKE KMC vs Yanga Sc Leo 6/05/2026 Ligi Kuuu NBC Tanzania Bara
Hapa chini Ni matokeo ya KMC vs Yanga Sc
Full Time
KMC 0 – 1 Yanga Sc





Leave a Reply